Naibu Gavana wa Kaunti ya Uasin Gishu Mhandisi John Barorot amethibitisha kuwa matayarisho ya Kongamano yameshika kasi katika kila sehemu kuanzia Shule ya Hill school,Sports Club,Uwanja wa Michezo wa Kipchoge […]